…………………………………………………………..
Waziri wa Afya wa Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, Hamad Rashid ametangaza kupatikana kwa wagonjwa
wawili raia wa Tanzania wenye maambukizi ya virusi vya Corona na kufanya
idadi ya watu walioambukizwa virusi hivyo visiwani humo kufikia 9 mpaka
sasa.
Raia hao wa Tanzania waliopatikana na virusi hivyo hawakuwahi kusafiri nje ya nchi.
No comments :
Post a Comment