Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi baada ya kufungua barabara
ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye uerfu wa kilometa nne
iliyogharimu sh. bilioni 5.9, Machi 1, 2020 . (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wakati alipofungua barabara ya Makorora-Msambweni
jijini Tanga yenye urerfu wa kilometa nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9,
Machi 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifungua barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa
Kilometa nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9, Machi 1, 2020. Kushoto ni
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela, wa pili kushoto ni Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu. Wa tatu
Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Tanga, Henry Shekifu na wa nne
Kulia ni Naibu Waziri Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI (Elimu), Mwita
Waitara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiteta na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela baada ya kufungua
barabara ya Makorora-Msambweni jijini Tanga yenye urerfu wa kilometa
nne iliyogharimu sh. bilioni 5.9, Machi 1, 2020
No comments :
Post a Comment