Wednesday, March 4, 2020

KAMATI YA BUNGE MASUALA YA UKIMWI YATEMBELEA GEREZA KUU LA ARUSHA



Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge, Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya Mhe. Oscar Mukasa akisalimiana na Maafisa wa Magereza alipofika katika Gereza Kuu la Arusha ili kupokea taarifa juu ya wafungwa wanaoishi na virusi vya Ukimwi leo Machi 4.
Kamati ya Kudumu ya Bunge, Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo katika Ofisi yake kabla ya kuanza ziara ya kuelekea katika Gereza Kuu la Mkoa wa Arusha leo Machi 4.
Kamati ya Kudumu ya Bunge, Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Magereza mara baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa majukumu yao kwa wafungwa wanaoishi na virusi vya ukimwi leo Machi 4.

No comments :

Post a Comment