Bw. Ganga Ben Mlipano Meneja
Msaidizi Dawati la Malalamiko ya Wateja na Mabenki na Taasisi za Fedha
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) akitoa mada kuhusu Dawati hilo na namna
linavyofanya kazi katika semina ya waandishi wa habari kutoka vyombo
mbalimbali vya habari inayoendelea kwenye tawi la BoT jijini Arusha
leo.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakimsikiliza Bw. Ganga Ben Mlipano Meneja Msaidizi Dawati la Malalamiko
ya Wateja na Mabenki na Taasisi za Fedha Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
akitoa mada kuhusu Dawati hilo na namna linavyofanya kazi katika semina
ya waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari
inayoendelea kwenye tawi la BoT jijini Arusha leo.
Zalia Mbeo Meneja Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki (BOT) akizungumza na washiriki wa semina ya Uchumi na Fedha inayoendelea kwenye tawi la BoT jijini Arusha.
Bi. Kashinde Sekule Phelician
Afisa Utumishi Mkuu Benki Mkuu ya Tanzania na Afisa Mwendeshaji wa Mfuko
wa Mwalimu Nyerere (BoT) akiwasilisha mada katika semina hiyo kuhusu
huduma za mfuko huo katika kutoa ufhadhili wa wanafunzi waliofauru
vizuri katika masomo yao.
Katibu wa Semina hiyo Bw. Bakari Kimwanga akizungumza wakati wa majumuisho ya seina hiyo kwa siku ya leo.
No comments :
Post a Comment