WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri
Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu.Mhe.Jenista Mhagama,
akizungumza wakati wa hafla hiyo ya ufunguzi wa Mkutano wa Kwanza wa
Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika.(SADC) uliofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoka katika
ukumbi wa mkutano wa hoteli ya Madinat Al Bahr mbweni Jijini Zanzibar,
baada ya kuufungua mkutano huo, (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi , Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista
Mhagama na (kushoto kwa Rais) Katibu Mtendaji SADC.Dkt. Stergomena
Lawrence Tax.(Picha na Ikulu)
MAWAZIRI Wenye Dhamana ya
Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika (SADC) wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa mkutano wa Kwanza
wa Kamati ya Mawaziri wa Wenye Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi
Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed
Shein, (hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika
ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na
Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya
pamoja na Viongozi wa meza kuu na Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejiminti
ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC) baada ya ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya
Madinat Al Bahr Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU Mtendaji wa SADC.Dkt.
Stergomena Lawrence Tax, akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa
Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya
Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia na
kuufungua Mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya
Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini
mwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr
Mbweni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Katibu
Mtendaji wa SADC Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alipowasili katika
viwanja vya Hoteli ya Madinat Al Bahr,mbweni Jijini Zanzibar (katikati)
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar.Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,
kuhudhuria ufunguzi wa Mkutano wa kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye
Dhamana ya Menejimenti ya Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya
Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu,Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu.Mhe.Jenista
Mhagama.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Wenye
Dhamana ya Menejimenti ya Maafa ya (SADC ) wakiwa wamesimama wakati
ukipigwa wimbo wa Taifa na wa Sadc wakati wa hafla ya ufunguzi wa
mkutano wa Kwanza wa Kamati ya Mawaziri Wenye Dhamana ya Menejimenti ya
Maafa kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika,
uliofanyika Jijini Zanzibar katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr
Mbweni.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment