Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia
Ackson akiongozwa na wapambe kutoka kwenye ukumbi wa Bunge jijini
Dodoma baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusoma hotuba ya kuahirisha
Bunge, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipongezwa na wabunge baada ya kusma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini
Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment