Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), na balozi wa Uingereza,
Sarah Cook, wakionja Whisky aina ya John Walker Blue Label katika hafla
maalum ya ‘Whisky Tasting’ iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited
(SBL) ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya
vinywaji vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwamo Johnnie Walker
inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hafla iliyofanyika kwenye
makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti (kushoto), akichukua whisky aina ya
Johnnie Walker Blue Label katika hafla maalum ya ‘Whisky Tasting’
iliyofanyika katika makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam.
Balozi wa Johnnie Walker Afrika
Mashariki, Marcus Kwikiriza, akizungumza wakati wa hafla maalum ya
‘Whisky Tasting’ iliyofanyika katika makazi ya balozi wa Uingereza
jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bia Serengeti (SBL), Mark Ocitti, akizungumza katika hafla maalum ya
Whisky Tasting iliyoratibiwa na Serengeti Breweries Limited (SBL)
ikilenga kuwapa nasasi wateja na wadau wengine kuonja ladha ya vinywaji
vikali vinavyosambazwa na kampuni hiyo ikiwemo Johnnie Walker
inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake. Hhafla iliyofanyika kwenye
makazi ya balozi wa Uingereza jijini Dar es Salaam.


Balozi wa Uingereza hapa nchini
Sarah Cook, akizungumza katika hafla maalumu ya kuonja pombe kali aina
ya Whisky iliyoratibiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Limited
(SBL) ikililenga kuwapa nafasi wateja na wadau wengine nafasi ya
kuzifahamu na kuzionja pombe kali zinazosambazwa na kampuni hiyo
ikiwamo Johnnie Walker inayotimiza miaka 200 tangu kuanzishwa kwake.
Hafla iliyofanyika kwenye makazi ya balozi huyo jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment