Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome
(kushoto) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine
Musisi (kulia) alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba,
Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha. Wengine pichani ni
Wakurugenzi kutoka Wizarani hapo.

Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na
Sheria Prof. Sifuni Mchome (kulia) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Umoja
wa Mataifa Bi. Christine Musisi alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa
Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha. Mwingine
pichani ni Bw. Godfrey Mulisa Mtaalam wa masuala ya utawala wa Umoja wa
Mataiafa.
No comments :
Post a Comment