Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiwasalimia wananchi , kwenye Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo alilokua
akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katika Manispaa ya Musoma, mkoani
Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiwa na mkewe Mary, wakiwa wamekaa kwenye dawati ambalo alikua
akilpenda kulikalia Mwalimu Julius Nyerere, wakati akisoma kwenye Shule
ya Msingi Mwisenge, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara,
Desemba 7, 2019. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akizumza na wananchi, baada ya kukagua Shule ya Msingi Mwisenge, ambayo
alilokua akisoma Mwalimu, Julius Nyerere, katiaka Manispaa ya Musoma,
mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima, wakati akiwasili
kwenye uwanja wa ndege wa Musoma, mkoani Mara, Desemba 7, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akiangalia darasa la Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu,
Julius Nyerere, iliyopo katiaka Manispaa ya Musoma, mkoani Mara,
Desemba 7, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa,
akisalimiana na Afisa Elimu Mkoa wa Mara, Emanuel Kisongo,wakati
alipotembelea Shule ya Msingi Mwisenge, alilokua akisoma Mwalimu, Julius
Nyerere, iliyopo katika Manispaa ya Musoma, mkoani Mara, Desemba 7,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment