Mkuu wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kutangaza utalii wa ndani hapa nchini uliofanyika kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi |
Muongoza
watalii kwenye Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi kulia akitoa maelezo mafupi
kwa Balozi wa Tanapa nchini Nancy Sumary wakati aliptembelea hifadhi
hiyo
BALOZI
wa Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) Nancy Sumari katika akiwa na baadhi
ya watalii wengine wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kitaifa ya
kutangaza utalii wa ndani
Sehemu ya msururu wa magari ukiwa kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi
BALOZI wa Hifadhi za Taifa nchini (TANAPA) Nancy Sumari ametembelea hifadhi ya Taifa ya Mkomazi iliyopo wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro huku akiwahimiza watanzania kujenga
mazoea ya kutembelea
hifadhi zilizopo hapa nchini ili kuweza kujionea vivutio vilivyopo na kujifunza
mambo mbalimbali ya uhifadhi wa wanyama pori.

Nancy ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania 2005 na mrembo wa Dunia Afrika mwaka huo aliyasema
hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kutangaza utalii wa ndani hapa
nchini iliyofanyika kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi na kuzinduliwa na Mkuu
wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule.
hayo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya kutangaza utalii wa ndani hapa
nchini iliyofanyika kwenye hifadhi ya Taifa ya Mkomazi na kuzinduliwa na Mkuu
wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule.
Alisema
kwamba utalii wa ndani ni jambo muhimu sana kwa watanzania kwani
unamuwezesha kutumia muda mchache kuweza kujifunza na kujionea vivutio
vilivyopo ndani ya nchi na kuweza kuvifurahia.
“Kwa kweli niwashukuru wananchi, Mkuu wa wilaya ya Same na Mhifadhi wa Hifadhi ya
Taifa ya Mkomazi kwa kutukaribisha mimi na familia yangu kutembelea na
kufurahia utalii wa ndani ni jambo nzuri na la kipekee sana hivyo niendelee kuwasihi watanzania tutembelee hifadhi zetu”Alisema.
Taifa ya Mkomazi kwa kutukaribisha mimi na familia yangu kutembelea na
kufurahia utalii wa ndani ni jambo nzuri na la kipekee sana hivyo niendelee kuwasihi watanzania tutembelee hifadhi zetu”Alisema.
Hata
hivyo aliwakaribisha marafiki na watanzania wengine kutembelea hifadhi
ya Taifa ya Mkomazi kwani ni eneo ambalo la kipekee kutokana na
kusheheni idadi kubwa ya
wanyama wakubwa na ndege ambao wageni wanakutana nao wakati tu wanapoingia
kwenye eneo la lango la geti hilo.
wanyama wakubwa na ndege ambao wageni wanakutana nao wakati tu wanapoingia
kwenye eneo la lango la geti hilo.
Awali
akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mhifadhi wa Hifadhi ya Taifa ya
Mkomazi Abel Mtui alisema kwamba katika kampeni hiyo wageni ambao
walijiandikisha kuingia
ndani ya hifadhi ni 78 ambao kati yao kutoka wilaya ya Mwanga ni 13, Same ni 55
na Hedaru ni 10 hivyo hiyo ni idadi kubwa ya kutosha na wanategemea waliokuja
watakwenda kuwa mabalozi wazuri kwa wenzao.
ndani ya hifadhi ni 78 ambao kati yao kutoka wilaya ya Mwanga ni 13, Same ni 55
na Hedaru ni 10 hivyo hiyo ni idadi kubwa ya kutosha na wanategemea waliokuja
watakwenda kuwa mabalozi wazuri kwa wenzao.
Alisema anaimani idadi kubwa ya watalii wa ndani itazidi kuongezeka zaidi kwani wageni
waliotembelea hifadhi hiyo wataenda kuwaarifu wenzao huku wageni ambao walipata
fursa ya kutembelea hifadhi hiyo wakipiga picha na Balozi Nancy.
waliotembelea hifadhi hiyo wataenda kuwaarifu wenzao huku wageni ambao walipata
fursa ya kutembelea hifadhi hiyo wakipiga picha na Balozi Nancy.
“Hivyo
niendelee kuwahimiza watanzania kuendelea kutembelea vivutio vya utalii
ambao vipo hapa nchini ikiwemo hifadhi ya Taifa ya Mkomazi ambayo
inavuvutio vya kipekee”Alisema.
Awali akizungumza wakati wa kampeni hiyo Mkuu wa wilaya ya Same Rosemary Senyamule
alkiwakaribisha Balozi huyo na familia yake na wananchi ambao tayari walianza
kujitokeza kwenye kufanya utalii wa ndani kwani wana matarajio makubwa sana na
hifadhi ya mkomazi kutokana na kuwa na vuvutio vingi vinavyopatikana na vya
kipelee ambavyo havipatikana maeneo mengine.

Mkuu
huyo wa wilaya alisema kwamba wanatagemea hifadhi ya Taifa ya mkomozi
inayokuwa kwa haraka kwa kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje
ikiwemo kuongeza mapato na kukuza uchumi wa serikali na mwananchi mmoja
mmoja.
“Tunaweka
nguvu nyingi kama serikali kuhakikisha mkomazi inakuwa na kupata
miundombinu na vitu vyengine vitakavyofanya watalii kuvutiw lakini pia
ujio wa faru ni kuvutio ambacho kitakuwa hakuna eneo jengine Tanzania
hadi ya mkomazi kunajengwa ukuta ambao faru watawekwa pale na upo kwenye
hatua zxa mwisho za ukamilishaji”Alisema.
“Kukamilika kwake utawawezesha watanzania ambao watakuwa wakifika Mkomazi anakuwa na uhakika
wa kuona faru na itakuwa hifadhi pekee kwenye nchi ya Tanzania na nchi chache
za Afrika na wanategemea jambo hilo litasaidia kupata idadi kubwa ya wageni “Alisema
Dc huyo.
wa kuona faru na itakuwa hifadhi pekee kwenye nchi ya Tanzania na nchi chache
za Afrika na wanategemea jambo hilo litasaidia kupata idadi kubwa ya wageni “Alisema
Dc huyo.
No comments :
Post a Comment