Wednesday, October 30, 2019

Waziri Dkt. Mwakyembe Afungua Jukwaa la Utengenezaji Maudhui na Usambazaji wa kazi za Sanaa (BDF)



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu
Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Wengine ni Mtangazaji kutoka Clouds Media Group (Clouds Plus), Gift Swai (kushoto) na Isaya Kandonga (Kulia).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison
Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu
Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akieleza jambo Waandishi wa
Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya
filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiagho Kilonzo Akifafanua Jambo
kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.

No comments :

Post a Comment