
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa
Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika Mashariki
uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali
waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na
Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.

Baadhi ya Viongozi mbalimbali
waliohudhuria katika Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na
Majaji wa Afrika Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya
Madinatil Bahar Mbweni Zanzibar.

Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman
Makungu akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya
Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Mahakimu na Majaji wa Afrika
Mashariki uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinatil Bahar Mbweni
Zanzibar.
No comments :
Post a Comment