Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuwakilisha Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kufungua
Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya
Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi wa Mwalim
Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Octoba 21,2019.

Baadhi ya Washiri wa Mkutano wa
siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi
za Asia na Afrika (AALCO) ambao ni Viongozi wa Serikali, Mawazi,
Wanasheria, Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa na Mabalozi kutoka
Nchi 48 Wanachama wa Shirika hilo wamsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa
akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli kufungua Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la
Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO) katika Ukumbi
wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es Salaam leo Octoba 21,2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa
Sheria na Katiba Mhe. Augustine Mahiga alipowasili katika Jengo la
Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar Es salaam Leo Octoba 21, 2019
kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa Mkutano wa siku tano wa 58 wa
Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika
(AALCO).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Palamagamba Kabudi
alipowasili katika Jengo la Ukumbi wa Mwalim Julius Nyerere Jijini Dar
Es salaam Leo Octoba 21, 2019 kwa ajili ya kumuwakilisha Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye ufunguzi wa
Mkutano wa siku tano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya
Kisheria kwa Nchi za Asia na Afrika (AALCO).(Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
No comments :
Post a Comment