Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,
Gilles Muroto (kulia), akimsikiliza mfanyakazi wa kampuni ya mabasi ya
Shabiby jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma ya Vodacom ya
Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo katika ofisi za
Shabiby jijini Dodoma leo

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,
Gilles Muroto (katikati), akimsikiliza mkurugenzi wa kampuni ya mabasi
ya Shabiby, Mohammed Shabiby (kushoto) jinsi wanavyopokea wateja
wanaolipa kupitia huduma ya Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa
uzinduzi wa huduma hiyo katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo.
Kushoto ni Meneja wa Lipa, Luis Maro.

Gilles Muroto (kulia), akimsikiliza mhudumu wa Vodacom katika kampuni ya
mabasi ya Shabiby jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia huduma
ya Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi wa huduma hiyo
katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo. Kushoto ni ni Meneja wa
Lipa, Luis Maro.

LIpa, Luis Maro.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,
Gilles Muroto, akimsikiliza mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby,
Mohammed Shabiby (kushoto) jinsi wanavyopokea wateja wanaolipa kupitia
huduma ya Vodacom ya Lipa Kwa Simu Yako wakati wa uzinduzi wa huduma
hiyo katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma,
Gilles Muroto (kushoto), akionyeshwa namna meseji ya “Lipa kwa simu
yako” inayoingia kutoka kwa mkurugenzi wa kampuni ya mabasi ya Shabiby,
Mohammed Shabiby (kushoto) baada ya mteja kulipa kupitia huduma hiyo
wakati wa uzinduzi katika ofisi za Shabiby jijini Dodoma leo.

Ofisa Masoko wa Vodacom, Robert
Massinda, akimuelekeza mteja wa Vodacom, Fatma Haji wakati akilipia
tiketi yake kwa “Lipa Kwa Simu Yako” kwenye kampuni ya mabasi ya Shabiby
wakati wa uzinduzi wa huduma wa huduma hiyo Dodoma leo.
No comments :
Post a Comment