Makamu
wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akifungua rasmi Mkutano wa 58 wa Mwaka wa
Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika (AALCO),
jijini Dar es Salaam Oktoba 21, 2019, mkutano huo umedhaminiwa na Benki
ya CRDB.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
Kabudi, akitoa hotuba yake wakati wa Mkutano wa 58 wa Mwaka wa Shirika
la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika (AALCO), jijini
Dar es Salaam Oktoba 21, 2019, mkutano huo umedhaminiwa na Benki ya
CRDB.
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa 58 wa Mwaka wa Shirika la Mashauriano ya Kisheria kwa nchi za Asia na Afrika (AALCO) uliofanyika jijini Dar es Salaam Oktoba 21, 2019, mkutano huo umedhaminiwa na Benki ya CRDB.

Washiriki wa mkutano.

Washiriki kutoka nchi mbalimbali wakiwa katika mkutano huo.

Washiriki.
Meneja
Mwandamizi anayeshughulikia Idara za Serikali za Mitaa wa Benki ya
CRDB, Suzan Shuma (wa pili kulia) akifuatilia mkutano huo pamoja na
wafanyakazi wenzake.

Waziri wa Katiba na Sheria ambaye ni Rais wa AALCO kwa sasa, Augustine Mahiga, akizungumza katika mkutano huo.


Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na wadhamini wa mkutano huo Benki ya CRDB.

Waziri wa Katiba na Sheria ambaye ni Rais wa AALCO kwa sasa, Augustine Mahiga, akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Benki ya CRDB.

Waziri wa Katiba na Sheria ambaye ni Rais wa AALCO kwa sasa, Augustine Mahiga, akipata maelezo kutoka kwa Meneja Mwandamizi anayeshughulikia Idara za Serikali za Mitaa wa Benki ya CRDB, Suzan Shuma.

Meneja Mwandamizi Benki ya CRDB, anayeshughulikia Idara za Serikali za Mitaa, Suzan Shuma, akizungumza na waandishi wa habari.

No comments :
Post a Comment