
Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed
Said akiwasilisha maada kuhusu Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza
demokrasia mbele ya Wanachama wa Jumuiya hiyo katika hoteli Madinat Al
Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar.

Makamu wa Rais wa kwanza Chama cha
Mabunge Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zambia, Mhe. Dkt.
Evans Chibanda akizungumza wanachama wa jumuiya hiyo wakati wa semina ya
Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza demokrasia katika hoteli
Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini Zanzibar. Kulia ni Spika wa Bunge
la Rwanda, Mhe. Rebecca Kadaga na Mwenyekiti wa Chama cha Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed Said

Wanachama Chama Cha Mabunge
Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika wakifuatilia mjadala katika semina
iliyohusu Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza demokrasia katika
hoteli Madinat Al Bahr Business and Spa Visiwani Zanzibar.

Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe.
Rebecca Kadaga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa
Chama cha Mabunge Jumuiya ya Madola Tawi la Zanzibar, Mhe. Simai Mohamed
Said (kulia) na Makamu wa Rais wa kwanza Chama cha Mabunge Jumuiya ya
Madola Kanda ya Afrika Tawi la Zambia, Mhe. Dkt. Evans Chibanda baada ya
semina kuhusu Matumizi ya Teknolojia katika kuendeleza demokrasia
iliyofanyika leo katika hoteli Madinat Al Bahr Business and Spa Mjini
Zanzibar.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment