RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na Katibu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha
China na “Vice General Manager of China National Research Institute of
Food Fermentation Industries Co.Ltd Bw. Dong Weihong, akiwa na ujumbe
wake,walipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo.(Picha na
Ikulu).
RAIS wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake
Zanzibar.Mhe. Xie Xiuowu, akiwa na Katibu wa Kamati Kuu ya Chama Cha
Kikomunisti na” Vice General Manager of China National Research
Institute of Food Fermentation Industries Co.Ltd “ Bw. Dong Weihong,
walipofika Ikulu kwa mazungumzo leo, 10-9-2019.(Picha na Ikulu).
No comments :
Post a Comment