Mratibu wa Safari hiyo Padre Melodis Mlowe wa Jimbo Katoliki la Njombe
Haryson Chanjo kutoka kamapuni ya Exellence Guide ni miongoni mwa waratibu wa safari ya kidini ya utalii kuelekea ISRAEL
Mmoja wa wasafiri akiwa tayari uwanja wa Kimataifa KIA akiwa ameambatana na binti yake
Baadhi
ya Watanzania 64 amabao wameshaanza safari kuelekea nchini Israel
kwaajili ya safari ya Kidini pamoja na kujifunza mambo mbalimbali
ikiwemo Teknolojia.Baadhi ya Watanzania 64 wakiwa uwanja wa Kimataifa wa ambao tayari kwa safari kuelekea nchini Israel kwaajili ya safari ya Kidini pamoja na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Teknolojia.
Baadhi ya Watanzania 64 ambao wameshaanza safari kuelekea nchini Israel kwaajili ya safari ya Kidini pamoja na kujifunza mambo mbalimbali ikiwemo Teknolojia.
Na.Vero Ignatus,Arusha.
Zaidi
ya Watanzania 64 kutoka Mikoa yote nchini wameondoka kwenda nchini
Israel kwaajili ya safari ya kidini pamoja na kujifunza mambo mbalimbali
yaTeknolojia pamoja nakutangaza utalii na vivutio mbalimbali vilivyo
Nchini.
Akizunguza
Mratibu wa Safari hiyo Padre Melodis Mlowe wa Jimbo Katoliki la Njombe
amesema kuwa mafanikio ya safari hiyo yanatokana na Balozi wa Tanzania
nchini Israel kuwataka watanzania kutumia fursa ya ndege inayowaleta
watalii nchini,ili waweze kuitumia kwenda Israel kujifunza kwani bei
yake ni nafuu ukilinganisha na bei za ndege nyingine.
Padre Mlowa amesema lengo kuu ya safari hiyo ni watanzania kwenda nje ya nchi kujifunza,yakiwemo mambo mengi ambayo wanatakiwa kujifunza ikiwemo ujasiri,teknolojia na maendeleo,amesema Israel ndiyo nchi sahihi kwani uoto wa nchi hiyo ni mawe mchanga pamoja na jangwa ila ndiyo nchi yenye mafanikio makubwa.
\\Kupitia
fursa gharama ambayo ilikuwa inasomeka mil 8-9 kwa mashirika na
makampuni mengine kupitia program hii gharama ni pungufu sana kwasababu
dola wanayolipa ni 1390 kwa tikati ya ndege malazi chakkula na na safari
nzima kwenda na kurudi kwa siku saba ni gharama pungufu kuliko gahrama
yeyote ile.//
Padre Mlowa amesema lengo kuu ya safari hiyo ni watanzania kwenda nje ya nchi kujifunza,yakiwemo mambo mengi ambayo wanatakiwa kujifunza ikiwemo ujasiri,teknolojia na maendeleo,amesema Israel ndiyo nchi sahihi kwani uoto wa nchi hiyo ni mawe mchanga pamoja na jangwa ila ndiyo nchi yenye mafanikio makubwa.
Akizungumza wakati wakianza safari
Padre amesema katika matatizo ya uoto wa nchi hiyo ya Israel, wameigeuza kama
fursa kwao hivyo wao kama watanzania wanakwenda siyo kwaajili ya kutalii peke yake bali kujifunza fursa mbalimbali na kutangaza Utalii wa Tanzania.

//Hakuna
haja ya Nchi ya Tanzania kuendelea kuwa maskini wakati tunazo fursa
nyingi ukitofautisha na Israel,wao changamoto kubwa waliyonayo ni ardhi
yao kubwa ni mawe,mchanga na jangwa ila sisi tunakwenda kujifunza
wamewezaje kufanikiwa//alisema padre Mlowa.
Amewataka watanzania kutoka kwaajili ya kujifunza katika
nchi mbalimbali kwaajili ya kupata mtazamo chanya kwaajili ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Amewataka watanzania kutoka kwaajili ya kujifunza katika
nchi mbalimbali kwaajili ya kupata mtazamo chanya kwaajili ya maendeleo ya Taifa kwa ujumla.
Haryson
Chanjo kutoka kamapuni ya Exellence Guide ni miongoni mwa waratibu wa
safari ya kidini ya utalii kuelekea ISRAEL amesema kuwa wameitumia fursa
hiyo ya ndege inayoleta watalii kutoka Israel kuja kutembelea mbuga za
wanyama nchini ambayo wanafanya mabadilishano ya wao kuja na watanzania
kwenda kujifunza mambo mbalimbali kwani wao wanapata biashara na
Tanzania vilevile.
Amesema safari kama hizo lengo kubwa ni kutangaza utalii wa taifa katika masoko mapya kwani zipo nchi nyingi duniani zinahitaji kujua Tanzania kuna vivutio mbalimbali ,ikiwemo mlima Kilimanjaro,hifadhi na vivutio vingi vya asili.

\\Novemba
12 mwaka huu tutakuwa na ndege nyingine inaondoka kuelekea Israel,
safari nyingine Mwezi wa kumi na moja mwakani tutaanza mara tu baada ya
pasaka tutakuwa na mtiririko wa safari kwani mwitiko mkubwa sana kwa
watanzania ila changamoto kubwa ni muda wa maandalizi umekuwa mdogo sana na
vithibitisho vyote vinavyohusisha nyaraka paspoti na na viza //Alisema Hurryson

Amesema kuwaamefurahi kuona Tanzania ina balozi nchini
Israel kwani imekuwa rahisi kwa watanzania kupata nafasi ya kwenda Israel
vilevile wanaomba Israel iweze kufungua ofisi ya ubalozi nchini ili iwe rahisi
kwa watanzania kupata viza kirahisi ilikuepusha watanzania kwenda kutafuta viza
nchini Kenya.

Kuna gharama ya watanzania kwenda Kenya kutafuta viza
na kurudi Tanzania tena kampuni ya Exellent Guide watoe huduma hiyo kwa wingi
zaidi ili watanzania wengi waweze kunufaika na huduma hiyo sambamba na kutangaza utalii katika masoko mapya kama Asia,Amerika na nchi nyingine ambazo zinahitaji kuifahamu Tanzania.

Aidha Watanzania waliosafiri kwenda nchini Israel wametoka katika mikia ya Mwanza Dar es salaam,Iringa Njombe,Musoma Dodoma,
Njombe,Kilimanjaro,Arusha,Tanga,ambapo safari hizo zitakuwa endelevu.
Njombe,Kilimanjaro,Arusha,Tanga,ambapo safari hizo zitakuwa endelevu.

No comments :
Post a Comment