Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Shirika la Maendeleo
ya Petroli Tanzania (TPDC) Bi. Marie Msellemu mara baada ya kutembelea
banda lao katika ufunguzi rasmi wa Maonesho ya Maadhimisho
ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na wafanyakazi wa TPDC mara baada ya kutembelea banda lao
katika ufunguzi rasmi wa Maonesho ya
Maadhimisho
ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo
Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata
maelezo ya kutoka kwa Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa TPDC Bi. Marie
Msellemu alipotembelea banda la shirika hilo wakati wa ufunguzi wa
Maonesho ya Maadhimisho ya Awamu ya Nne ya Wiki ya Viwanda kwa nchi za
Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) katika Ukumbi wa Mikutano
wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

No comments :
Post a Comment