
Mkurugenzi Msaidizi wa Mazingira
Ofisi ya Makamu wa Rais, Kemilembe Mutasa akiongea na Wajumbe wa kikao
kinachohusu Katazo la mifuko ya plastiki, kilichoshirikisha Maafisa
Mazingira wa Mikoa ya Tanzania kikao hiko kimeandaliwa na Ofisi ya
Makamu wa Rais jijini Dodoma katika ukumbi wa Nyaraka.

Injinia Joseph Kiruki kutoka Ofisi
ya Makamu wa Rais akitoa mada juu ya katazo la mifuko ya plastiki
katika kikao cha Maafisa Mazingira wa Mikoa kilichoandaliwa na Ofisi ya
Makamu wa Rais kilichofanyika jijini Dodoma

Mwanasheria kutoka Baraza la
Usimamizi wa hifadhi ya Mazingira (NEMC) Bwana Vincent Haule akifafanua
jambo wakati wa kikao cha Maafisa ya Mazingira wa Mikoa kilichoandaliwa
na Ofisi ya Makamu wa Rais jijini Dodoma

Sehemu ya Wajumbe waliohudhsuria
kikao cha Maafisa Mazingira wa Mikoa wakifuatilia mada kwa makini wakati
wa kikao cha Maafisa Mazingira wa Mikoa kilichoandaliwa na Ofisi ya
Makamu wa Rais jijini Dodoma.
No comments :
Post a Comment