Mwananchi
aliyefika kutembelea banda la mashirika mawili ya yasio ya kiserikali
ya Save the Mother and Children of Central Tanzania (SMCCT) la mkoani
Singida na Christian Education and Development Organization (CEDO) la
mkoani Tabora, akielezea kufurahisha na elimu ya masuala ya lishe kwa
mama mjamzito iliyotolewa na mashirika hayo kwenye mbio za Mwenge wa
Uhuru wilayani Nzega mkoani Tabora jana . Kulia ni Mkurugenzi wa Shirika
la CEDO, Japhet Kalegeya na katikati ni Mkurugenzi wa SMCCT, Eveline
Lyimo. |
No comments :
Post a Comment