
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (kulia), akiiangalia zawadi aliyopewa na Sajin Kim
(katikati) na Yujun Cho, kutoka Chuo Kikuu cha Polisi nchini Korea
Kusini, walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini
Dar es salaam leo 22/08/2019, ziara ya wanafunzi hao, ni kuendelea
kukuza ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la
Polisi Korea Kusini.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (kulia), akifurahia jambo wakati akizungumza na Sajin Kim
(katikati) na Yujun Cho, wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Polisi nchini
Korea Kusini, walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo
jijini Dar es salaam leo 22/08/2019, ziara ya wanafunzi hao, ni
kuendelea kukuza ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na
Jeshi la Polisi Korea Kusini.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP
Simon Sirro (kulia), akimsikiliza Sajin Kim (katikati) na Yujun Cho,
wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Polisi nchini Korea Kusini,
walipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo jijini Dar es
salaam leo 22/08/2019, ziara ya wanafunzi hao, ni kuendelea kukuza
ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la Polisi Tanzania na Jeshi la Polisi
Korea Kusini. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments :
Post a Comment