
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali
ya Taifa Muhimbili (MNH), Prof. Lawrence Museru akipokea shilingi
milioni 5 kutoka kwa wakili Albert Msando ikiwa ni fedha za gharama za
kulipa matibabu ya marehemu Bi. Sabina Kitwae Loita.

Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Museru akitoa ufafanuzi kwa waandishi habari kuhusu deni hilo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa MNH, Prof. Museru wa MNH.
No comments :
Post a Comment