| Aisa Matekelezo Mwandamizi wa PSSSF, Bw. Donald Peter Maeda (kulia), akimsikiliza Mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko kupatiwa huduma. |
Mkurugenzi
wa banda la PSSSF Bi.Eunice Chiume (kushoto), akimsikiliza Mwanachama
wa Mfuko huo, aliyetembelea banda hilo kupatiwa huduma.
Buonekano wa banda namba 13 la PSSSF.
Afisa
Matekelezo PSSSF, Bi. Getrude Athanas (kulia), akimuhudumia Mwanachama
wa Mfuko aliyefka yeye na familia yake kwenye banda la PSSSF ambalo
linatumika kwa ushirikiano na NSSSF.
Afisa
Matekelezo PSSSF, Bi. Getrude Athanas (kulia), akimuhudumia Mwanachama
wa Mfuko aliyefka yeye na familia yake kwenye banda la PSSSF ambalo
linatumika kwa ushirikiano na NSSSF.
Afisa
Uhusiano Mwandamizi PSSSF, Bw. Abdul Njaidi (kushoto) na Afisa Uhusiano
Mwandamizi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Bw. Sebera Fulgence
wakibadilishana mawazo wakati Bw. Sebera ambaye ni Mwanachama wa PSSSF
alipotembelea banda la Mfuko kupata taarifa za michango yake.
No comments :
Post a Comment