| Afisa Huduma kwa jamii kutoka Idara ya huduma za uangalizi,Wizara ya Mambo ya Ndani, Monica Dawa akigawa juisi kwa watoto. |
Shirika
lisilo la kiserikali la Investing in Childrean and Societies (ICS
Africa) kwa kushirikiana na Watanzania Waishio Denmark,shirika la CIS na
familia ya Robert Mugeta iliyopo Marekani wamesherekea Sikukuu ya Eid
El-Fitr pamoja na Watoto wenye mahitaji maalumu (wenye ualbino,viziwi na
wasioona) waliopo katika bweni la Shule ya Msingi Buhangija 'Kituo cha
Buhangija' Mjini Shinyanga.
No comments :
Post a Comment