Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa
nchini, Dkt. Agnes Kijazi alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Injinia. Atashasta
Nditiye. Dkt. Kijazi alishinda nafasi ya Makamu wa Tatu wa Rais wa Shirika la
hali ya hewa Duniani (WMO) uchaguzi uliofanyika tarehe 13 Juni, 2019 Geneva,
Switzerland.
Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa
nchini, Dkt. Agnes Kijazi (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe.
Injinia. Atashasta Nditiye
No comments :
Post a Comment