Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na
Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali Davutaglu, alipofika Ikulu
Zanzibar na Ujumbe wa Kampuni ya Okan kutoka Nchini Uturuki.(Picha na Ikulu)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Uturuki Nchini
Tanzania kushoto Mhe. Ali Davutaglu,Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan, Bwa.
Bekir Okan na Ugur Erkray, wakiwa katika mazungumzo hayo yaliofanyika Ikulu
Zanzibar.(Picha na Ikulu)

Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiagana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Okan
ya Uturuki Bwa. Bekir Okan na Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Mhe. Ali
Davuttaglu, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika Ikulu Zanzibar.(Picha
na Ikulu)

No comments :
Post a Comment