Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John pombe Magufuli pamoja na
mkewe Mama Janeth Magufuli wamemjulia hali mjane wa Baba wa Taifa Mama
Maria Nyerere anayepatiwa matibabu jijini Dar es Salaam.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment