Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipongezwa na Naibu
Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji baada ya kupitishwa kwa
Bajeti ya Wizara hiyo nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akijibu hoja
za wabunge wakati wa kuhitimishwa kwa hoja za Mapato na Matumizi ya
shilingi trilioni 11.94 ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020,
Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), akieleza
kuhusu makusanyo ya kodi kuongezeka, wakati wa kuhitimisha hoja za
wabunge kuhusu Mapato na Matumizi ya shilingi trilioni 11.94 ya Wizara
ya Fedha na Mipango kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akijibu hoja
za wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020,
Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, (wa tano kushoto),
akiwa na watumishi wengine wa Wizara hiyo, wakifuatilia mijadala ya
wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka wa Fedha
2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma, ambayo ilipitishwa kwa kishindo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) (kushoto),
akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto
James, (wa pili kushoto), kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano
Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Benny Mwaipaja, Bungeni jijini
Dodoma.
Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi (Mb) (kulia),
akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto
James, baada ya Bunge kupitisha bajeti ya sh. trilioni 11.94 ya Wizara
ya Fedha na Mipango kwa Mwaka wa Fedha 2019/2020, Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa kwanza kulia),
akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Khatibu Kazungu, Mhasibu
Mkuu wa Serikali Bw. Francis Mwakapalila, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara
hiyo Bi. Amina Shaabani na viongozi mbalimbali wa Wizara wakifuatilia
uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara iliyosomwa bungeni na Waziri wa Fedha
na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (hayupo pichani), Jijini
Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipongezwa na Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Doto James baada ya kupitishwa kwa Bajeti ya
Wizara hiyo nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Waziri
wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akipongezwa na Waziri
wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako baada ya
kupitishwa kwa Bajeti ya Wizara hiyo nje ya ukumbi wa Bunge Jijini
Dodoma.
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James, akizungumza jambo
na Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mhe. George
Simbachawene, nje ya ukumbi wa Bunge baada ya kupitishwa kwa bajeti ya
Wizara hiyo Jiijni Dodoma.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango (wanne kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Naibu
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa pili kulia)
pamoja na viongozi mbalimbali wa Wizara na Taasisi zilizo chini ya
Wizara baada ya kupitishwa kwa bajeti ya Wizara hiyo Jijini
Dodoma.(PICHA NA WFM)
No comments :
Post a Comment