Serikali inatarajia kujenga viwanda vya kusindika mazao ya uvuvi nchini kupitia Shirika la Uvuvi Tanzania (Tafico).
Katika
swali lake Kubenea, lililoulizwa kwa niaba yake na Mbunge wa Viti
Maalumu, Tunza Malapo (Chadema), alihoji ni lini na ni wapi Kiwanda cha
Samaki cha Pwani kitajengwa hapo.
No comments :
Post a Comment