Wednesday, May 1, 2019

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AHUDHURIA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI ZANZIBAR


 IMG_4633-1
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe., Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa meza Kuu kushoto Waziri wa Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto, Mhe. Maudline Castico, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein na Mkuu wa Mkoa wa Kusinu Unguja Mhe. Hassan Khatib na kulia Mwenyekiti wa Shirikisho la la Vyama Vya Wafanyakazi Ndh. Ali Mwalim Katibu Mkuu wa ZATUC Ndg. Khamis Mwinyi na Mwakilishi wa ILO Getrude Sima wakiimba wimbo wa mshikamano wa Wafanyakazi.wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani iliofanyika katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein.Tunguu.(Picha Ikulu)
IMG_4689 IMG_4748
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Shein Ahutubia Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duni ukumbi wa Chuo Kikuu cha SUZA Tunguu Zanzibar(Picha na Ikulu)
IMG_4802
IMG_4629
BAADHI ya Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa wanaofanyika Kazi zao Zanzibar wakihudhuria Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani(Picha na Ikulu)

No comments :

Post a Comment