Friday, March 1, 2019

Bodi ya Maziwa, Benki ya Maendeleo ya Kilimo kukopesha ng’ombe bora wa maziwa

 
By Gadiosa Lamtey, Mwananchi glamtey@mwananchi.co.tz
Ili kuongeza uzalishaji wa maziwa nchini, Bodi ya Maziwa Tanzania (TDB) imeandaa mkakati wa kuwawezesha wafugaji kuongeza tija ya kazi zao.

No comments :

Post a Comment