Amiri Jeshi
Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi
(CDF) Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha
Monduli Brigedia Jenerali Steven Mnkande wakati wakielekea kwenda kupiga picha
za kumbukumbu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Maafisa Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa
Tanzania (JWTZ) wakila kiapo cha Utii mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutunukiwa Kamisheni Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Maafisa
Wanafunzi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Wakivalishana vyeo mara baada
ya kutunukiwa Kamisheni na Amiri Jeshi Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli katika tukio lililofanyika katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam.
 |
Amiri Jeshi
Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Makamu wa Rais Samia
Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John
Kijazi, Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson na Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Venance Mabeyo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo
ya Kijeshi cha Monduli Brigedia Jenerali Steven Mnkande wakiwa katika picha ya
kumbukumbu na Maafisa wapya wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania mara baada ya
kutunukiwa Kamisheni Ikulu jijini Dar es Salaam. (PICHA NA IKULU).
|
No comments :
Post a Comment