Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Sahel
Barke Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Lugano
Samson Mwandambo Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Dkt. Mary
Levira Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika
Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Ignus Paul
Kitusi Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika
Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Rehema
Kerefu Sameji Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla
iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. John Rugalema
Kahyoza Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Susan Bernard
Mkapa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar
es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Fahamu Hamidu
Mtulya Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Cyprian Phocas
Mkeha Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar
es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Jaji Winnie
Korosso Kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Hafla iliyofanyika
Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Willbard Richard
Mashauri Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Dunstan Beda
Ndunguru Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Seif Mwinshehe
Kulita bKuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Upendo Elly
Madeha Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Yohane Bokobora
Masara Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Mustapha Kambona
Ismail Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Athumani Matuma
Kirati Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Zepherine
Nyalugenda Galeba Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika
Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bw. Dkt. Ntemi
Nimilwa Kilikamajenga Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika
Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Bi. Dkt. Juliana
Laurent MasaboKuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu
Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akimuapish Dkt. Lilian Mihayo
Mongella Kuwa Jaji wa Mahakama ya Kuu . Hafla iliyofanyika Ikulu Jijini
Dar es salaam. Januari 29,2019.
Majaji wapya wa Mahakama ya
Rufani na Mahakama Kuu Wakiapa kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma
mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe
Magufuli mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari
29,2019.
Wakuu wa Wilaya wapya 2 wa Wilaya
ya Mwanga na Tarime pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri 10 Wakiapa
kiapo cha uadilifu kwa Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya
kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15 Mahakama
Kuu Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Majaji wapya wa Mahakama ya
Rufani na Mahakama Kuu Wakitia saini hati za kiapo cha uadilifu kwa
Viongozi wa Umma mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.
Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kuwaapisha Ikulu Jijini Dar es
salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kuwaapisha Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji wapya 15 wa
Mahakama Kuu ,Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi, Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani mara
baada ya kuwaapisha Majaji hao na Majaji wapya 15 wa Mahakama Kuu ,Ikulu
Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji
wapya 15 wa Mahakama Kuu,Watumishi mbalimbali wa Mahakama mara baada ya
kuwaapisha Majaji hao. Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji
wapya 15 wa Mahakama Kuu na Viongozi wa Madhehebu mbalimbali ya Dini
mara baada ya kuwaapisha Majaji hao. Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari
29,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na
Makamu wa Rais Mhe.Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi, Waziri wa Sheria Profesa
Palamagamba Kabudi,Waziri wa TAMISEMI Seleman JaffO, Jaji Kiongozi Dkt.
Eliezer Fereshi pamoja na Majaji wapya 6 wa Mahakama ya Rufani Majaji
wapya 15 wa Mahakama Kuu, Wakuu wa Wilaya 2 na Wakurugenzi 10 wa
Halmashauri, Mara baada ya kuwaapisha Majaji. Ikulu Jijini Dar es
salaam. Januari 29,2019.
Wakuu wa Wilaya wapya 2 wa Wilaya
ya Mwanga na Tarime pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri 10 wakiwa
katika hafla ya uwaapisho wa Majaji 6 wa Mahakama ya Rufani na Majaji 15
wa Mahakama Kuu .Ikulu Jijini Dar es salaam. Januari 29,2019.
No comments :
Post a Comment