Naibu waziri wa Habari, sanaa utamaduni na michezo, Juliana Shoza akizungumza katika tamasha Tukuza Festival Genesis one katika hotem ya Corido Spring Jijini Arusha. Picha/habari na Vero Ignatus.
Rais wa Mtandao wa wasanii wa Injili na Maadili Tanzana Dkt. Godwin Maimu
Naibu Waziri wa Habari, sanaa,
Utamaduni na michezo Juliana Shoza akipeana mikono na Rais wa Tagoane
Dkt. Godwin Maimu mara baada ya kuzindua mfuko wa Tagoane Loan Fund
Jijini Arusha.
Afisa michezo wa Jiji la Arusha
Benson Maneno akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika katika Hotel
ya Corido Spring Jijini Arusha
Naibu waziri wa habari sanaa,
utamaduni na michezo Mhe. Juliana Shoza akizungumza katika uzinduzi wa
Mfuko wa Tagoane Loan Fund jijini Arusha.
Rais wa Mtandao wa wasanii wa
Injili na Maadili Tanzania Dkt. Godwin Maimu akizungumza na wasanii
mbalimbali waliohudhuria katika tamasha la Tukuza festival Genesis one
Jijini Arusha.
Naibu waziri wa Habari sanaa
utamaduni na michezo Juliana Shoza akisalimiana na Mkurugenzi wa Newlife
Band Fortunatus Mabondo(Hondo)
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na michezo Juliana Shoza akivishwa skafu na mmoja wa Skauti Jijini Arusha
Mkurugenzi wa Newlife Band
Fortunatus Mabondo(Hondo) Mabondo akipeana mkono wa pongezi na Rais wa
Mtandao wa wasanii wa Injili na Maadili Tanzana Dkt. Godwin Maimu
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na michezo akipokelewa na kikkundi cha ngoma cha jamii ya wamasai cha Meserani Jijini Arusha
Picha ya pamoja Naibu Waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Juliana Shoza, Rais wa Tagoane Tanzania Dkt. Godwin Maimu, Katibu mkuu mtendaji wa Tagoane Taifa Silvanus Mumba, Afisa michezo Jiji la Arusha Maneno.
Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, utamaduni na michezo akipokelewa na kikkundi cha ngoma cha jamii ya wamasai cha Meserani Jijini Arusha
Picha ya pamoja Naibu Waziri wa habari, sanaa, utamaduni na michezo Juliana Shoza, Rais wa Tagoane Tanzania Dkt. Godwin Maimu, Katibu mkuu mtendaji wa Tagoane Taifa Silvanus Mumba, Afisa michezo Jiji la Arusha Maneno.
Picha
Naibu Waziri wa Habari, sanaa, utamaduni na michezo Juliana Shoza akiwa
na wasanii mbalimbali pamoja na viongozi wa Tagoane.
Na. Vero Ignatus, Arusha
Naibu
waziri wa Habarui, sanaa utamaduni na michezo Mhe. Juliana Shoza
amewataka wasanii wa Injili kjijengea tabia ya kujiwekea akiba ili punde
wapatapo matatizo waweze kuyatatua kwa urahisi
Ameyasema
hayo hivi karibuni alipokuwa akizindua mfuko wa Tagoane LoanFund Jijini
Arusha ambapo amepongeza uongozi wa Tagoane kufikia hatua hiyo.
Ameyataka
mashirikisho yote ya muziki wa Injili nchini Tanzania kuiga mfano nzuri
wa Tagoane ili waweze kuwa na mashirikisho ambayo ni hai na yanayoleta
mshindo kwenye jamii.
Amesema
yeye kama mlezi wa wasanii wote nchi amewaomba waamke wachangamkie
fursa na wasiwe wavivu kujifunza kutoka kwa wenzao waliofanikiwa
Amewataka
wasanii kukaa kwa pamoja Kuonyeshe Uzalendo kwa nchi yao wajadili
changamoto mbalimbali wanazozipitia na kutafuta namna ya kutazua
changamoto zinazowakabili.
Kwa
upande wake Rais wa Tagoane Taifa Dkt. Godwin Maimu amesema kuwa
wanedhamiria kuanzisha mfuko wao wa Tagoane Loan Fund ambapo mpaka sasa
umekuwa na wanachama ambao wameshachangia akiba zao zipatazo shilingi
milioni kumi
Amesema mfuko huo unatarajiwa kuanza kutoa mikopo kwa wanachama wavhqngiaji kuanzia 2 januari 2019
maendeleo
kama vijana hayawezi kuendelea ukiwa na jitihada za mtu mmoja mmoja
bali balintunapounganisha nguvu zetu kwa pamoja mwisho wa siku tunapata
kitu cha kuweza kutusaidia. Alisema Dkt Maimu
Amesema
lengo la mfuko huo ni kuwakwamua wasanii watakaokuwa na miradi ya
uwekezaji, makampuni makubwa, na watakaoweza kutoa fursa na ajira kwa
vijana hapa nchini na kulipa kodi kama wananchi wengine
Aidha
tamasha hilo lililoshorikisha wasanii mbalimbali wakiwemo
wajasiriamali, wachoraji, wachongaji, sanaa za ubunifu ni fursa ambayo
Tagoane wameileta na kuwataka wasanii waitumie kwaajili ya kujikwamua
kiuchumi na kuoata maendeleo katia jamii nzima
Tamasha hilo la Tukuza festival lilizinduliwa rasmi mwaka 2017 likiwa linafanyika kwa mara ya pili limebeba kauli mbiu isemayo toto yatima haihitaji chakula a mavazi peke yake ila awezeshwe nyenzo za kutimiza malengo yake.
No comments :
Post a Comment