Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (watatu kushoto)
akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Benki ya NMB ulioongozwa na Ofisa
Mkuu wa Mikopo wa Benki hiyo, Bw. Tom Borghlos (watatu kulia) walipomtembelea
leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akiagana
na Mjumbe wa Bodi wa Benki ya NMB, Ndg. Jos Lange pale ugeni kutoka Benki ya
NMB ulipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma. Kushoto ni Mkuu wa Biashara Benki ya NMB, Ndg. Donatus Richard
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza
Ofisa Mkuu wa Mikopo wa Benki ya NMB, Ndg. Tom Borghlos (wa pili kushoto) pale
ugeni kutoka Benki hiyo ulipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018 Ofisini kwake
Bungeni Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Mjumbe wa Bodi NMB, Ndg. Jos Lange na
Afisa wa Benki ya NMB, Ndg. Juliana muwanga
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza
na ugeni kutoka Benki ya NMB ulioongozwa na Ofisa Mkuu wa Mikopo wa Benki hiyo,
Ndg. Tom Borghlos (wa pili kushoto) walipomtembelea leo tarehe 14 Novemba 2018
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Wa tatu kushoto ni Mjumbe wa Bodi, Ndg.
Jos Lange, Afisa wa Benki ya NMB, Ndg. Juliana muwanga (wa tatu kulia), Mkuu wa
Biashara Benki ya NMB, Ndg. Donatus Richard (wa pili kulia) na Meneja kanda ya
kati, Ndg. Nsolo Mlozi.(PICHA NA OFISI YA BUNGE).
No comments :
Post a Comment