Spika wa Bunge Mheshimiwa
Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Watendaji Waku wa Benki ya NMB Dodoma
waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo Novemba 1, 2018.
Spika wa Bunge Mheshimiwa
Job Ndugai akipeana mkono na Mkuu wa Kitengo cha Biashara ya
Makampuni na Serikali wa Benki ya NMB Ndg. Filbert Mponzi alipomtembelea
Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo Novemba 1, 2018.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza jambo na Watendaji Waku wa
Benki ya NMB Dodoma waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. (Picha
na Ofisi ya Bunge)

No comments :
Post a Comment