Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Muadhama Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu la Nairobi John Kardinal Njue ambaye aliongoza Misa Takatifu ya
Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji,
Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa kabla ya kuanza kwa Misa takatifu
ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji,
Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Baadhi ya
Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki wakiwa katika Misa Takatifu ya Jubilei
ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na
Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Baadhi ya
Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki wakiwa katika Misa Takatifu ya Jubilei
ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na
Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Waumini
mbalimbali wa Kanisa Katoliki, Maaskofu pamoja na Wageni mbalimbali kutoka
ndani na nje ya nchi katika Maadhimisho
ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu mara baada ya Misa
iliyofanyika Bagamoyo Mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Maaskofu wa Kanisa
Katoliki mara baada ya Misa ya ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya Uinjilishaji,
Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Baadhi ya
Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki wakiwa katika Misa Takatifu ya Jubilei
ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na
Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Baadhi ya
Maaskofu mbalimbali wa Kanisa Katoliki wakiwa wanawasili kwa maandamano katika
eneo lililoandaliwa kwa ajili ya Misa takatifu ya Jubilei ya Miaka 150 ya
Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.
Mke wa Rais Mama
Janeth Magufuli akiwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamini Mkapa pamoja
na Spika Mstaafu Anne Makinda wakiwa katika Misa takatifu ya ya Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji, Afya na Elimu
Bagamoyo mkoani Pwani.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na Muadhama
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam Polycarp Kardinali Pengo wapili
kutoka kushoto waliokaa, Muadhama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nairobi John
Kardinali Njue wapili kutoka kulia waliokaa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Benjamin Mkapa, Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakiwa katika picha ya pamoja
na Maaskofu wa Majimbo mbalimbali ndani
na nje ya nchi mara baada ya Misa ya Maadhimisho ya Miaka 150 ya
Uinjilishaji, Afya na Elimu Bagamoyo mkoani Pwani.(PICHA NA IKULU).



No comments :
Post a Comment