Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akiwa na IGP (mstaafu) Omar Mahita),
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi mstaafu, Jenerali Mwamunyange, Mkuu wa Jeshi la
Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali Thobias Andengenye na Meja Jenerali Sharif Sheikh Othman aliyemwakilisha Mkuu wa Majeshi wakati wa mazishi ya IGP mstaafu marehemu Samwel Pundugu katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro akitoa heshima baada ya kuweka shada
la maua katika kaburi la IGP Mstaafu marehemu Samwel Pundugu katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Maofisa
wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa IGP Mstaafu marehemu Samwel
Pundugu wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam
Askari
Polisi wakishiriki kushusha jeneza lenye mwili wa IGP Mstaafu marehemu Samwel Pundugu
kaburini wakati wa mazishi yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja na
familia ya IGP Mstaafu marehemu Samwel Pundugu baada ya mazishi yake katika
makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Polisi).
No comments :
Post a Comment