Mkuu wa Idara ya wateja ,masoko na mawasiliano benki ya CBA,Julius Konyani Akikabidhi hundi ya shilingi milioni 4 kwa Mkuu wa Shule ya Msingi Singisi ,Safira Ndelwa.Benki hiyo imetoa msaada huo kwa
ajili ya mabati na ukarabati wa madarasa.Picha na Pamela Mollel,Arusha
ajili ya mabati na ukarabati wa madarasa.Picha na Pamela Mollel,Arusha
Mkuu
wa Idara ya wateja ,masoko na mawasiliano benki ya CBA,Julius Konyani
Akikabidhi hundi ya shilingi milioni 4 kwa Mkuu wa Shule ya Msingi
Singisi ,Safira Ndelwa.Benki hiyo imetoa msaada huo kwa ajili ya mabati
na ukarabati wa madarasa
Mkuu wa Idara ya wateja ,masoko na mawasiliano benki ya CBA,Julius Konyani akizungumza
katika hafla ya kukabidhi hundi ya milioni 4 kwa ajili ya kusaidia shule ya
msingi Singisi.
katika hafla ya kukabidhi hundi ya milioni 4 kwa ajili ya kusaidia shule ya
msingi Singisi.
Mkuu wa Idara ya wateja ,masoko na mawasiliano benki ya CBA,Julius Konyani akikabidhi hundi kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Singisi
Mkuu wa Idara ya wateja ,masoko na mawasiliano benki ya CBA,Julius Konyani akipokea zawadi kutoka wanafunzi wa shule ya msingi Singisi.
Picha ya pamoja
CBA YATOA MSAADA WA MILIONI 4 SHULE
YA SINGISI
YA SINGISI
Na Pamela Mollel,Arusha.
Benki
ya CBA imetoa msaada wa shilingi milioni 4 kwa shule ya msingi Singisi
kwa ajili ya mabati pamoja na ukarabati wa shule hiyo ili kusaidia
kutatua changamoto ya uhaba wa madarasa na uchakavu wa majengo.
Mkuu
wa Idara ya wateja ,masoko na mawasiliano,Julius Konyani alisema kuwa
wameamua kutoa msaada huo ili kusaidia watoto wa kitanzania waweze
kupata elimu bora ambayo itawasaidia kujikwamua kiuchumi na kuondokana
na umasikini.
Julius
alisema kuwa benki hiyo imeamua kurudisha sehemu ya faida kwa wananchi
kwa kutoa fedha hizo licha ya msaada huo wamekua wakisaidia chumba cha
watoto njiti kwa kutoa
vifaa vya kitaalamu ili kuokoa maisha ya watoto.
vifaa vya kitaalamu ili kuokoa maisha ya watoto.
Mkuu
wa Shule hiyo Safira Ndelwa ameshukuru msaada huo ambapo amesema
kuwa msaada huo utawasaidia kumalizia ujenzi wa uzio wa shule hiyo
pamoja na kukarabati majengo ya shule hiyo ambayo ni chakavu.
Hata
hivyo ameiomba benki hiyo iweze kuwasaidia kuwajengea vyumba vya
madarasa kwani shule hiyo inakabiliwa na uhaba wa madarasa hali
inayosababisha msongamano darasani
inayowalazimu kuingia darasani kwa awamu huku walimu wakifundisha kwa zamu.
inayowalazimu kuingia darasani kwa awamu huku walimu wakifundisha kwa zamu.
“Tunaomba benki ya CBA isituache iendelee kutusaidia katika maeneo mengine ambayo kuna
changamoto ili wanafunzi waweze kusoma katika hali bora” Alisema
changamoto ili wanafunzi waweze kusoma katika hali bora” Alisema
Diwani wa Kata ya Seela Singisi Penzila Palangyo amesema kuwa ushiriki wa sekta binafsi
katika maendeleo ya elimu ni muhimu ili kuhakikisha kuwa sekta ya elimu
inasonga mbele na kusaidia maisha ya watu wengi
katika maendeleo ya elimu ni muhimu ili kuhakikisha kuwa sekta ya elimu
inasonga mbele na kusaidia maisha ya watu wengi
No comments :
Post a Comment