Mhe Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb), Waziri wa kilimo akisisitiza jambo wakati
wa uzinduzi wa Mradi wa utafiti na kujenga uwezo wa kukabiliana na
mabadiliko ya tabia nchi katika nyanja za kilimo na mfumo wa chakula
nchini Tanzania hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ESRF Jijini Dar es
salaam Leo tarehe 19 Septemba 2018. (Picha Zote Na Mathias Canal-WK)
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa
uzinduzi wa Mradi wa utafiti na kujenga uwezo wa kukabiliana na
mabadiliko ya tabia nchi katika nyanja za kilimo na mfumo wa chakula
nchini Tanzania hafla iliyofanyika katika ukumbi wa ESRF Jijini Dar es
salaam Leo tarehe 19 Septemba 2018 wakifatilia kwa umakini mkubwa hotuba
ya Mhe Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb), Waziri wa kilimo.
Mhe Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb), Waziri wa kilimo (kulia) akikata utepe ishara ya kuzindua
Mradi wa utafiti na kujenga uwezo wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia
nchi katika nyanja za kilimo na mfumo wa chakula nchini Tanzania hafla
iliyofanyika katika ukumbi wa ESRF Jijini Dar es salaam Leo tarehe 19
Septemba 2018. Mwingine pichani ni Dkt Tausi Mbaga Kida, Mkurugenzi wa Taasisi ya tafiti za kiuchumi na kijamii ESRF.
Picha
ya pamoja Mhe Mhandisi Dkt Charles Tizeba (Mb) Waziri wa kilimo akiwa
na washiriki wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa utafiti na kujenga uwezo
wa kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi katika nyanja za kilimo na
mfumo wa chakula nchini Tanzania hafla iliyofanyika katika ukumbi wa
ESRF Jijini Dar es salaam Leo tarehe 19 Septemba 2018.
No comments :
Post a Comment