Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea,
Mheshimiwa Lee Nak- Yon baada ya mgeni huyo kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam alasiri hii
ya Julai 21, 2018. Mgeni huyo atakuwepo nchini kwa siku 3.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea,
Mheshimiwa Lee Nak-Yon wakati mgeni huyo alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa Julius Kamabarage Nyerere jijini Dar es salaam kwa Ziara ya
siku tatu chini Julai 21, 2018.
No comments :
Post a Comment