Monday, July 23, 2018

WAZIRI KALEMANI AKABIDHI VIFAA VYA UMEME TAYARI (READY BOARD) 20 KWA WAKAZI WA MTAA WA IGELEGELE, MWANZA

  Waziri wa Nishati Mhe. Medard Kalemani (kulia), akikabidhi kifaa cha umeme tayari(Ready board) kwa Mbunge wa Ilemela na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula wakati wa ziara yake ya kuwasha umeme chini ya Mradi wa Usambazaji Umeme Vijini REA Awamu ya Tatu. Mhe. waziri alitoa jumla ya Ready board 20  kwa ajili ya wakazi wa mtaa wa Igelegele, Kata ya Sangabuye wakati wa ziara yake ya uzinduzi wa miradi ya REA III Mkoani, Mwanza.

Mhe. Waziri Kalemani akihutubia wananchi.

No comments :

Post a Comment