Ajali hiyo imetokea leo Julai Mosi, 2018 ambapo imehusisha magari manne zikiwamo daladala tatu za abiria na lori moja.
Wananchi pia wameshirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama katika
uokoaji pamoja na kunasua moja kati ya daladala hizo iliyokuwa imelaliwa
na lori.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla alikuwapo pia katika eneo la tukio katika uokoaji.
Lori liliyagonga magari hayo yaliyokuwa yakitokea stendi ya Mbalizi kuelekea Mbeya mjini.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla alikuwapo pia katika eneo la tukio katika uokoaji.
Lori liliyagonga magari hayo yaliyokuwa yakitokea stendi ya Mbalizi kuelekea Mbeya mjini.
No comments :
Post a Comment