Thursday, July 19, 2018

Video: Haijapata kutokea, Tundu Lissu amvaa JPM

Haijapata kutokea ni vikwazo na vitimbi vya uchaguzi mdogo, vipo vya mgombea kutoweka na kuzima simu, muhuri wa chama kufichwa, kwingine mgombea atuhumiwa kwa mauaji yupo aliyepewa mtihani wa kuandika ‘Zinjathropus’, Tundu Lissu amvaa JPM aeleza anguko la CCM litakavyokuwa,

No comments :

Post a Comment