Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipokwenda
kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa Mama Salima Kikwete Marehemu Mzee
Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai
21, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama
Janeth Magufuli wakiagana na mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa
kufiwa na baba yake mzazi Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa
wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018
Mama
Janeth Magufuli, Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akilakiwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete alipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa
mkewe Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa
wafiwa Msasani jijini Dar es salaam. Julai 21, 2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Janeth
Magufuli pamoja na Mama salma Kikwete alipokwenda kutoa pole kwa kufiwa
na baba mzazi wa Mama Salima Kikwete Marehemu Mzee Rashid Mkwachu,
nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais
Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na wanafamilia
wakiomba dua walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe
Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa
Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete na wanafamilia wakiomba dua
walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma
Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani
jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpka
pole mke wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,
Mama salma Kikwete, kwa kufiwa na baba yake mzazi Marehemu Mzee Rashid
Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam.Julai 21,
2018.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe
Mama Janeth Magufuli, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete na wanafamilia wakiomba dua
walipofika kutoa pole kwa kufiwa na baba mzazi wa mkewe Mama Salma
Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa Msasani
jijini Dar es salaam.Julai 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na
ndugu wa Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na
Mama Salma Kikwete baada da ya kutoa pole kwa kufiwa na baba yake mzazi
wa Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa wafiwa
Msasani jijini Dar es salaam . Julai 21, 2018

Msasani jijini Dar es salaam .Julai 21, 2018

Vijana
wa madrassa na waalimu wao wakimwangalia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama Janeth Magufuli
wakisindikizwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kutoa pole kwa kufiwa na
baba yake mzazi Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu, nyumbani kwa
wafiwa Msasani jijini Dar es salaam. Julai 21, 2018
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mama
Janeth Magufuli wakisindikizwa na Rais Mstaafu wa awamu ya Nne Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete baada ya kutoa pole
kwa kufiwa na baba yake mzazi Mama Salma, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu,
nyumbani kwa wafiwa Msasani jijini Dar es salaam .Julai 21, 2018

No comments :
Post a Comment