Baada ya kufanya vizuri na Infinix
NOTE 4 kampuni ya simu ya Infinix imetuletea teknolojia ya Android One
katika toleo lake jipya la Infinix NOTE 5 na hii ndio simu yenye sifa za
kuvutia zaidi ukilinganisha na toleo lolote kuzalishwa na kampuni hiyo.
Kupitia mfumo wa Android One,
Infinix NOTE 5 inauwezo mkubwa wa kuilinda simu yako na virusi
zinazoweza kupenya katika software pasipo ruhusa ya mmiliki na pamoja ya
kuhakikisha ulinzi thabiti wa simu yako kwa wakati wote lakini pia
Android One ina ‘update securities’ kila mwezi ili kuweza kudhibiti aina
yoyote ya virus mpya.
Mtumiaji wa Infinix NOTE 5
atakuwa wa kwanza kupokea updates za ‘application’ kwa haraka na hii
inamsaidia mtumiaji wa Infinix NOTE 5 kwenda sambamba na teknolojia na
kuyafahamu mengi kwa haraka zaidi.
Kwa kupitia GOOGLE drive ya
Android One Infinix NOTE 5 inasaidia upakuaji wa ‘ file’ nyingi na
kudhihifadhi kwa wingi na kushare na ‘servers’, lakini pia inahakikisha
documents za kampuni hazivuji kwa kudhiti walio nje ya imaya yako na
nyingine vingi.
Infinix NOTE 5 inaenda sambamba na
matakwa ya mtumiaji nikiwa na maana kupitia mfumo wa Android NOTE 5
inakupa uwezo wa kugawa kioo cha simu yako na kufanya kazi zaidi ya moja
kwa wakati mmoja lakini pia kutokana na ukuaji wa teknolojia NOTE 5
inauwezo wa kukaa na chaji siku tatu pasipo kuzima data.
Sifa nyengine
Wembamba wa simu | 8.4mm |
memory | 32GB + 3GB |
kamera | 12 MP AF, F 2.0, 1.25um |
processor | 2.0 Ghz octor core |
betri | 4500mAh |
kioo | 6.0 FHD, 18:9 |
network | 4G |
Kwa habari zaidi tembelea tovuti www.infinixmobility.com/tz/
No comments :
Post a Comment