Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akionyesha kitabu cha Kozi ya Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na
Uwekezaji inayoanza kutolewa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM)
Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.
Ashatu Kijaji na Katibu Mkuu, Wizara ya Viwanda na Biashara na Uwekezaji
, Profesa Elisante Ole Gabriel. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa
Thadeo Satta (kushoto kwa Mhe. Spika), Mwenyekiti wa Baraza la Chuo cha
IFM, Profesa Lettice Kinunda na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis
Mwamfupe. Hafla hiyo imefanyika leo Jijini Dodoma
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizindua kitabu cha Kozi ya Shahada ya Uzamili katika fani ya Fedha na
Uwekezaji inayoanza kutolewa na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Jijini
Dodoma. Kushoto kwake ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta na
Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akionyesha ramani ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) inayotarajiwa
kujengwa Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashatu Kijaji. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta
(kushoto kwa Mhe. Spika) na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis
Mwamfupe.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizindua ramani ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) inayotarajiwa
kujengwa Jijini Dodoma.kulia kwake ni Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,
Dkt. Ashatu Kijaji. Wengine ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Thadeo Satta
(kushoto kwa Mhe. Spika) na Meya wa Jiji la Dodoma, Profesa Davis
Mwamfupe.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Safari ya kuelekea Dodoma ya Chuo
Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) pamoja na uzinduzi wa kozi Shahada ya
Uzamili katika fani ya Fedha na Uwekezaji iliyoanza kutolewa na Chuo
hicho Jijini Dodoma..
No comments :
Post a Comment