Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya
wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa
zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Wafanyakazi mbalimbali wakipita
kwa maandamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi
Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Sehemu ya Wafanyakazi
waliohudhuria katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi
Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na wananchi mara
baada ya kuhutubia mamia ya wafanyakazi katika Maadhimisho ya Sherehe ya
Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora mkoni Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na
wasanii wa kizazi kipya kutoka mkoani Iringa waliotumbuiza katika
Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja
wa Samora mkoni Iringa.
Sehemu ya Walimu waliohudhuria
katika Maadhimisho ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika
uwanja wa Samora mkoani Iringa wakipiga makofi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiwa na Chifu wa
Wahehe, Mtwa Adam Mkwawa II ambaye alihudhuria katika katika Maadhimisho
ya Sherehe ya Mei Mosi Kitaifa zilizofanyika katika uwanja wa Samora
mkoni Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati
akiondoka katika uwanja wa CCM wa Samora mkoani Iringa mara baada ya
kuhutubia katika shere za Mei Mosi.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment