Friday, May 4, 2018

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA ILULA, RUAHA MBUYUNI NA RUAHA DARAJANI WAKATI AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MOROGORO


1.. 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilula mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.
4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha mbuyuni mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.
5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha darajani mara bada ya kuingia mkoani Morogoro.
6 7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa  Mikumi wakati akiueleka Kidatu mkoani Morogoro.
PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment